Picha za msamwa - Page 2








Kumbuka jinsi ulivyokuwa mzuri siku za nyuma. Jinsi tulivyotembea kwenye tuta, tukishikana mikono na kushangaa mwezi, jinsi tulivyocheka tulipochora picha ya pamoja ili kutundika kwenye chumba chetu cha kulala, jinsi ulivyofanya matengenezo na kusaidiana katika kila kitu. Jambo zima la safari hii katika siku za nyuma ni kupata msichana kuchukua nafasi
Picha zilisambaa kwenye mtandao za visa vya hapo awali ambapo wanaume waliwekewa presha na wake wao kupuuza ripoti za mahusiano nje ya ndoa.
Kwa tafsiri, ingiza katika utaftaji picha zilizo wazi zaidi za ndoto yako
Msanii wa muziki wa Singeli nchini Tanzania Dulla Makabila amejitokeza kuomba msamaha kwa mwanamuziki mwenza na mmiliki wa WCB Wasafi Diamond Platnumz. Makabila alichapisha picha ya Diamond kwenye Ibstagram ambapo alisema kwamba anajua alipoteza mtu muhimu kwenye maisha yake na kwenye fani yake kama mwanamuziki.
Sasa msanii huyo amenyenyekea kwa Diamond ambaye anasemekana kuwa nje ya nchi ya Tanzania na nje ya Bara Afrika kwa sasa. “Naomba unisamehe sana kaka kwa yote yaliyotokea nikisema leo nisielezee hisia zangu na jinsi navyojiskia baada ya kuwa mbali na wewe na familia nzima ya Wasafi kisa eti labda nitaonekana najishusha au nina shobo au sijiamini na kipaji changu nitakuwa najidanganya mwenyewe.” ndiyo baadhi ya maneno aliyoandika Dulla chini ya picha ya Diamond.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akizungumza bungeni alipokuwa akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Hatua hiyo imekuja ikiwa zimepita wiki chache tangu Rayvanny alipotuhumiwa kutupia picha na video mitandaoni zikimuonesha akiwa na Paula katika mahadhi ya kutomasana kimahaba hali iliyoibua hasira za mama mzazi wa binti huyo, Kajala Masanja aliyeandika waraka mrefu kwenye ukurasa wake wa Instagram huku akimshushia lawama Rayvanny.
Kamanda Kibona alisema kuwa, kesi hiyo ambayo ni ya Polisi licha ya kwamba hapaswi kueleza walichokizungumza, lakini kilichopo ni kusambaza picha kwenye mtandao bila ridhaa ya mmoja wapo mwenye hizo picha.



















